Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa
ulkiofanywa katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam
wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna
mtoto amekojolea Msahafu ambapo amewapa pole waumini wa Makanisa hayo na kuwahakikishia kuwa sheria itawashughulikia wale wote walio husika |
No comments:
Post a Comment