Sunday, November 4, 2012

BAGAMOYO YAPEWA BAISKELI 80 KWA AJILI YA WAELIMISHAJI RIKA

Meneja wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali (CDIP)Communty Development Initiative Professinals Bi:Joyce Josephat .(kushoto) akimkabidhi Afisa maendeleo ya jamii wilaya ya bagamoyo baiskeli 80 zenye dhamani ya shilingi milioni 11 kwa ajili ya wailimishaji rika wanaopambana vitendo vya unyanyasaji kwa maambukizi ya ukimwi kwenye kata kumi 16 za wilaya hiyo makabidhiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi kata ya lugoba pembeni ya jiji la Dar es salaam

Baadhi ya wailimishaji rika wanaopambana vitendo vya unyanyasaji kwa maambukizi ya ukimwi wakizichukua baiskeli hizo mara baada ya kukabidhiwa kwaajili ya kwenda kukusanyia maoni kwenye kata zao wilaya ya bagamoyo 

mkurugenzi mkuu wa (CDIP)Communty Development Initiative Professinals Dr,Jeremia Makula  akiwasisitizia jambo wailimishaji rika mara baada ya kukabidhiwa baiskeli hizo

wailimishaji rika wanaopambana vitendo vya unyanyasaji kwa maambukizi ya ukimwi kwa wanawake na watoto wakiwa darani,

No comments:

Post a Comment