Meneja
mkuu wa Nokia Afrika mashariki Bw.Bruce Howe akiongea na waandishi wa
habari kwenye Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam wakati wa
kuitambulisha simu mpya ya Asha 308 Nokia express Browser yenye uwezo wa
kuperuzi intaneti kwa asilimia 90,
Bw.Bruce
Howe (kushoto) na Meneja Masoko Nokia Bi.Ellen Lupilli wakionyesha hizo
kwa waandishi wa habari mara baada ya kuzindua .
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment