Meneja
wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza wakati wa kuuaga
mwili wa marehemu Sharo Millionea katika kijiji cha Kijiji cha Lusanga
Muheza Mkoani Tanga ambaye alifariki kwa ajali ya gari katika kijiji cha
Songa kilomita chache kutoka Hale.
Jeneza lenye Mwili wa marehemu Sharo Milonea likiwa tatari kwa Kwenda kuzika mwili wa marehemu nyumbani kwao.
Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa kwaajili ya kwanda kuzika sasa watanzania wataamini kama kweli Sharo amefariki
No comments:
Post a Comment