Waziri
Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza
Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa
shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012
eneo la Tenki fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande
ni mfanyakazi katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM). |
No comments:
Post a Comment