Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikata Utepe kuzifungua Nyumba Mpya za Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Nyumba
mpya za Wazee Sebleni zilizofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Idi,huko Sebleni Mkoa wa Mjini Magribi.ikiwa ni
Miongoni mwa Shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi
ya Wazee wa Sebleni wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi hayupo pichani wakati alipokwenda kuzifungua Nyumba
Mpya za Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akimpatia Funguo za
Chumba Bi Tiba Vuai katika Nyumba Mpya za Wazee Sebleni Mjini
Zanzibar,baada ya Kuzifungua Nyumba hizo.ikiwa ni Miongoni mwa Shamra
shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa akiwahutubia
Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuzifungua Nyumba Mpya za
Wazee hao,ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi
ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment