Mkurugenzi
Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe
akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Dar es
Salaam, kitengo cha Mifupa (MOI) alikolazwa kuhusiana na mipango ya
kusafirishwa kwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda
nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuvamiwa na watu
wasiojulikana nje ya nyumba yake wakati akitoka kazini usiku wa kuamkia
leo na kuumizwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwa ni pamoja
na kumtoboa jicho. (Picha na Habari Mseto Blog)
No comments:
Post a Comment