Bi Aisha Sururu Mwanaharakati na Diwani katika Manispaa ya Ilala ametoa rai hiyo leo katika mkutano huo akiwa kama Mgeni wa heshima kwenye Mkutano huo.
Bia Aisha amezindua kikundi cha Vikoba kwa wanawake hao na kuwataka kuanzisha miradi tofautitofauti kwa kushirikiana na kuahidi kusaidia miradi hiyo.
Baada ya Kumaliza yake Bi Aisha aliondoka kwa kusindikizwa na wanawake hao wakiwa na furaha nyingi |
No comments:
Post a Comment