Mtuhumiwa
namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha
(kushoto) akiwa chini ya ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na watuhumiwa wenzake kumi. Mtuhumiwa
namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha
(kulia) na watuhumiwa wenzake kumi wakisubiri kupandishwa kizimbani,
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.Mtuhumiwa namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza
Hussein Ladha (aliyevaa kanzu nyuma) akiwa na watuhumiwa wenzake mara baada ya
kupandishwa kizimbani na watuhumiwa wenzake kumi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment