Gari
ya dar express imepata ajali ya kuungua moto leo asubuh ktk njia panda ya dar
arusha,tanga (segera)hakuna mtu aliye jeruhiwa wala kupoteza maisha pia hakuna
mzigo ulioweza kuokolewa na wengi waliokuwamo kwenye gari hilo waikuwa ni
wanafuzi gari ilifika eno hilo ikiwa inatoa moshi kwa bahati nzuri trafiki
aliyekuwa zamu eneo hilo aliweza kuona tukio na kuamulu abilia kushuka dakika
chache baadae gari ilipamba moto hadi tunaondoka eneo hilo hakuna atuayoyote
iiyochukuliwa lisaa limoja baadae niliambiwa gari ya zima moto kutokea kolongwe
ndio ilifika eneo hilo picha na Samweli Mikuza
No comments:
Post a Comment