Tuesday, October 9, 2012

Kamati ya nchimbi haikuweza kugusia haya


Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa  Michael Kamuhanda akiwa mbele ya wafuasi wa Chadema waliokaa chini mbele ya ofisi yao katika kijiji cha Nyololo kabla mabomu hayajaanza kupihwa

Mmoja wa Waandishi wa habari akipata matukio mbali mbali yaliyokuwa yakiendelea Katika mashambulizi ya jengo tupu la Chadema mara baada ya wananchi kukimbia


No comments:

Post a Comment