| wananchi wakiserebuka katika tamasha la jinsia ngazi ya wilaya katika wilaya ya Morogoro vijijini |
| Diwani wa Kinole Safi Daso akiangalia vitabu mbali mbali wakati wa Tamasha la jinsia katika kijiji cha Mkambarani wilaya ya Morogoro Vijijini |
| Wazee wa Kijiji cha Mkambarani wakiigiza namna wanavyopata taabu ya kutafuta maji inayowakabili katika kijiji hicho |
| Pekecha pekechaaaa Babu akishiriki kucheza segere na mjukuu wake wakati wa Tamsha la Jinsia ngazi ya wilaya katika kijiji cha mkambarani wilaya ya Morogoro Vijijini |
| Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Ussu Mallya akifafanua jambo kwa washirioki wa Tamasha hilo |
No comments:
Post a Comment