Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.AliMohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan
Sang,alipofika Ikulu ya Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya
pande mbili hizi,[Picha na Ramadhan Othman,Vietnam.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Vietnam Truong Tan
Sang,alipofika Ikulu ya Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya
pande mbili hizi,[Picha na Ramadhan Othman,Vietnam.]
No comments:
Post a Comment