| Hawa ni Wadau waliohudhuria katika Warsha hiyo |
| Kikundi cha ngoma kikitoa Burudani katika Warsha hiyo ambapo Mgeni rasmi alifurahishwa sana na Burudani hiyo na hata akaamua kutoa zawadi yapesa kwao |
| Walipokuwa kwenye picha ya Pamoja |
| Mgeni Rasmi anaongea na waadishi wa habari |
| Mgeni Rasmi akitoa kiasi cha shilingi laki moja na elfu tano kwa kikundi cha ngoma |
| Nahakikisha pesa Mheshimiwa |
| Zipo sawa..... Nashukuru Mheshimiwa |
No comments:
Post a Comment