Monday, December 24, 2012

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFAULU DARASA LA SABA 2012


Taarifa ambazo zimeifikia Blogu hii hivi punde zinasema kuwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi linawataka Wazazi, Walezi na wanafunzi kufika katika Ofisi za Elimu Mkoa au Wilaya zao ndipo majina ya Wanafunzi na Shule walizopangiwa yanapatikana.

Hivyo mzazi au mlezi ukitaka kujua wapi mwanao amechaguliwa Fika katika Ofisi za Elimu Wilaya au Mkoa utafahamishwa.

No comments:

Post a Comment