Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland
Nchini Tanzania Fionnuala Gilsenan,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar
kusalimiana na Rais leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkaribisha Balozi wa Ireland
Nchini Tanzania Fionnuala Gilsenan,mara baada ya kuwasili Ikulu
Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikul
No comments:
Post a Comment