![]() |
![]() |
| Kidogo askari huyu apate kichapo kwa wananchi wenye hasira kali paada ya kuona kuwa wanausalama hao wa barabarani ndiyo waliosababisha ajali hiyo kiuzembe |
![]() |
| Mwenzake kuona mambo magumu kaamua kugeuza pikipiki yao ili watimke |
![]() |
| Jamaa huyo anaondoka kama yupo vile yaani nikituko hicho hawakurudi tena eneo la tukio |
![]() |
| Jamaa anasaidiwa na wasamaria wema kumpeleka hospitali |
![]() |
| picha na mbeya yetu |








No comments:
Post a Comment