Meneja
Mkuu wa Alliance Autos, wakala wa Volkswagen nchini, Alfred Minja
akikabidhi jezi kwa timu mchezo wa raga (Rugby) ya Dar Leopards jijini
Dar es Salaam. Anayepokea ni Mwenyekiti wa Dar Leopards Rugby Club,Bw.
Phillippe Poinsot. Minja amesema kuwa wameamua kuunga mkono mchezo wa
raga(Rugby) kwani ni miongoni mwa michezo iliyosahaulika nchini.
Alliance Auto wameshirikiana na HSE Solutions kudhamini jezi Dar
Leopards Club. Wanaoshuhudia tukio hilo ni baadhi wachezaji wa Dar
Leopards Rugby Club. |
No comments:
Post a Comment