RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA SINGIDA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi mbali
mbali wa Mkoa wa Singida wakati alipokuwa akuelezea masuala muhimu ya
maendeleo nchini.Rais Kikwete amewasili Mjini Singida Januari 5 kwa
Ziara ya kikazi ya Siku Mbili.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment