Naibu
Katibu Mkuu Mwamini Malemi (wa pili kutoka kulia) akimpa zawadi askari wa Jeshi
la Magereza kutoka Gereza la Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, Beatrice Sabo kwa
kuwasilisha vizuri mada ya jinsi na jinsia wakati wa mafunzo hayo. Wa kwanza kutoka
kushoto ni Kamishna wa Sheria na Utawala
wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa. Anayefuata ni Mshauri wa Masuala ya
Jinsia wa Programu ya Mabadiliko ya Sekta ya Sheria nchini, Bi. Wanyenda Kutta.
Kulia ni Mwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Asina
Omari.
|
No comments:
Post a Comment