Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akifafanua jambo wakati mkutano na wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF. Kushoto ni Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika hilo, Mseli Abdalah. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mhariri
Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu akizungumza
wakati wa mkutano na viongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) kuhusu mikopo ya Saccos.
Meneja
Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Mseli Abdalah akifafanua jambo kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa
NSSF wakati wa mkutano na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu, Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori.
Mwenyekiti wa Saccos ya Mwananchi Communications Ltd, Haura Shamte akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Mpoki Bukuku
akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd
kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF.
Wafanyakazi wa Mwananchi Communications wakiwa katika mkutano huo.
Maofisa wa NSSF.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Mwananchi Communications waliohudhuria mkutano huo.
Meneja Mipango
na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mseli
Abdalah akitoa mada kuhusu mikopo ya Saccos kwa wanachama wa NSSF wakati
wa mkutano na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd jijini Dar es
Salaam.
|
Thursday, February 21, 2013
NSSF YATOA SEMINA KWA WAFANYAKAZI WA MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD KUHUSU MIKOPO YA SACCOS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment