Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Saud Said
Rajab akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, baada
ya kutangazwa rasmi bodi ya wakurugenzi ya shirika hilo kushika nafasi
ya Alfonce Kioko (kulia) ambaye amemaliza mkataba wake. Katikati ni
Mwenyekiti wa Bodi, Michael Shirima.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Shirima (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Saud Said Rajab na Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake, Alfonce Kioko.
Karibu katika majukumu yako mapya.
No comments:
Post a Comment