Naibu
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makala akimkabidhi kombe
la Ubingwa wa michuano ya NSSF Media Cup 2013 kwa naodha wa timu ya Jambo Leo, Said
Mwishehe katika baada ya kuifunga Changamoto bao 1-0 katika mchezo wa fainali
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog)
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makala akimkabidhi kombe
la Ubingwa wa michuano ya NSSF Media Cup 2013 kwa naodha wa timu ya Business Times
Queens, Lulu Habibu baada ya kuifunga TBC 39-18 katika mchezo wa fainali
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makala akikagua
timu ya Business Times Queens kabla ya mchezo wao dhidi ya TBC.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makala akikagua kikosi cha timu ya TBC Queens.
Kikosi cha TBC Queens kikiwa katika picha ya pamoja.
Mabingwa wa
Netiboli wa Kombe la NSSF Media Cup 2013 Business Times Queens kikiwa
katika picha ya pamoja kabla ya kuumana na TBC katika fainali.
No comments:
Post a Comment