
















Wafanyakazi wa wa Taasisi mbalimbali serikali zinazofanya kazi ya utalii nchini Tanzania wakiwa katika maonyesho hayo tayari kwa kazi ya kupokea na kutoa maelezo kwa wageni mbalimbali wanaotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya ITB yanayofanyika Jengo la Mense Berlin nchini Ujerumani
No comments:
Post a Comment