| Afisa wa ALCATEL akielezea Simu mpya maarufu kama ALCATEL ONE TOUCH zinazopatikana sasa nchini Tanzania ambayo ni simu ya kisasa kutoka Nchini Ufaransa na inapatikana kwa bei nafuu zaidi. |
| Baadaye Viongozi wa ALCATEL walikata keki ya Birthday ya kutimiaza miaka 20 kwa ALCATEL. |
| Happy Birthday Alcatel |
No comments:
Post a Comment