Tuesday, April 2, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AWFARIJI NDUGU NAJAMAA WALIO POTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA KUPOROMOKEWA NA MORAMU MKOANI ARUSHA

 Waziri Mkuu akitia sahihi  kitabu cha maombolezo.

 Waziri Mkuu akipeana mkono na Askari wa Jeshi la Wananchi (jwtz) alipotembelea eneo la tukio. 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipowasili mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha,  maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti meru. (Picha na Chris Mfinanga)

No comments:

Post a Comment