Thursday, November 22, 2012

MAENYESHO YA NGUVU KAZI KUFANYIKA MJINI BUJUMBURA NCHINI BURUNDI

Waziri wa Kazi na Ajira Mhe.Gaudencia Kabaka,akiongea na waandishi wa habari leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya maonyesho ya 13 ya nguvu kazi yanayotarajiwa kufanyika katika nchi ya Burundi mjini Bujumbura na kunzia tarehe 2-9 mwezi 12 mwaka huu,ambapo amesema dhumuni kuu la maonyesho hayo nikuwezesha urasimishaji wa shuguli za sekta isiyo rasmi katika ukanda wa Afrika mashariki kwakuwapatia furusa wajasiliamali wa sekta hii kuonyesha bidha zao kukutana na wajasiliamali wenzao kubadilishina taarifa kukuza masoko ya bidhaa na huduma pamoja na kuwezesha upatikanaji wa taarifa mbalimbali.

No comments:

Post a Comment