Meneja wa intaneti wa Tigo
Bw.Titus Kafuma (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo katika
Hotel ya JB BELIMONT jijini Dar es salaam wakati wakuchezesha Droo ya
pili ya SMARTCARD ambapo wateja 42 wameibuka wandi wa Droo hiyo huku
washindi wawili wakipata kifurushi cha vocha ya Shilingi 50,000 manunuzi
ya bidhaa katika maduka ambayo tigo itawaelekeza kufanya manunuzi hayo
huku wateja wengine wakijishindia tiketi za kwenda kuangalia mpira
katika kumbi za mpira Tarehe 9 mwezi wa 12 kutizama mechi za machesta
city na machesta untd na wengine wakishinda tiketi za kwenda kula Dina
katika hotel zenye hadhi ya juu na washindi wengine wamejishindia tiketi
za kwenda kuangalia sinema katika kumbi ambazo kampuni ya simu tigo
itakuwa imewalipia (kulia)Afisa msaidizi uhusinoTigo Bi.Tuli Mwaikenda |
No comments:
Post a Comment