Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza
harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo
Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Katika
Harambee hiyo,Mh. Lowassa pamoja na marafiki zake wakiweza kuchangia sh
millioni 25 kusaidia ujenzi huo.
Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiendesha harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike
katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Mh. Cripin Meela.
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Mh. Cripin Meela.
Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akimuhamasisha mmoja wa waalikwa kuchangia katika harambe ya kuchangia
ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.

Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili
kushoto) akifurahia jambo wakati alipokuwa katika Mazungumzo na Askofu
Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania (KMT), Askofu Alinikisa Cheyo
(kushoto) wakati wa hafla ya harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la
wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya..

Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana
na viongozi mbalimbali wa Chuo hicho mara baada ya kuongoza harambe ya
kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
No comments:
Post a Comment