Mkurugenzi
mkuu wa PPF Bwana William Eriyo akikabidhi hundi ya shilingi milioni
kumi kama mchango wa shirika lake kwa ajili ujenzi ya Hosteli ya
wanafunzi wenye ulemavu wa viungo na wasichana katika Chuo Kikuu cha
St.John kilichopo mjini Dodoma, wakati wa harambee iliyofanyika katika
ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar ea Salaam leo.Katika Harambe hiyo
jumla ya shilingi milioni 584/m zilikusanya ikiwa ni ahadi na fedha
taslimu.Wapili kushoto ni Askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana
Dr.Valentino Mokiwa na kulia ni Mkuu wa chuo hicho askofu mkuu mstaafu
Dr.Donald Mtetemela(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment