CANADA YAONYESHA NIA YA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA UMEME
Balozi
wa Canada nchini, Mheshimiwa Alexandre Leveque akizungumza na Waziri wa
Nishati na Madini, Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo alipomtembelea
wizarani leo. Serikali ya Canada imeonyesha nia ya kuwekeza katika sekta
ya umeme.
No comments:
Post a Comment