Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padre Ambrose Mkenda (aliyepo kitandani), wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, leo Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake mjini Zanzibar siku ya Sikukuu ya Krismasi, Desemba 25, 2012. Aliyesimama kulia ni Muuguzi mwangalizi wa mgonjwa huyo, Namsifu Fue. (picha: OMR) |
No comments:
Post a Comment