Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.
Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguka.
Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema
Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.
Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama
Picha zote na Mroki Mroki |
Watu walining’inia kwenye magari bila kuhofia maisha yaozu
Huyu naye alikua anachukua kumbukumbu za Video….
Lema akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashuariki CHADEMA, Joshua Nasari.
No comments:
Post a Comment