Msimamizi
Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Max Malipo Bw, Ahmed Lusasi akionyesha
Mashine ya kielektroniki Mbele ya Wsaandishi wa Habari mara baada ya
Kuingia mkataba wa Kibiashara na Kampuni ya Zuku leo katika Hoteli ya
Blue Pearl jijini Dar es Salaam juu ya Kampuni yao kuingia mkataba wa
Kuuza Vocha za Zuku ambapo leo wameweza kusaini Mkataba
utakaowawezesha wateja wa Zuku kulipia Vifurushi vyao popote kupitia
mawakala wa Max Malipo. |
No comments:
Post a Comment