Ripoti maalumu ya gazeti la Jamhuri kuhusu viongozi wa
Serikali na Ujangili wa Wanyamapori
Wiki iliyopita JAMHURI ilieleza habari za uchunguzi kuhusu ujangili unaofanywa na baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Mkata na vijiji jirani na Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro.
Katika uchunguzi huo, tulibaini biashara ya wanyamapori-mbichi na inayochomwa katika Kijiji hicho, huku viongozi wenye dhamana ya kudhibiti uhalibifu huo wakiwa hawajishughulishi.
Katika sehemu hii ya pili ya makala hii, kuna maelezo ya viongozi mbalimbali waliohojiwa kuhusu ujangili na juhudi za kuukabili.
Je, ujangili na biashara ya wanyamapori havina baraka za maofisa na askari wa Idara ya Wanyamapori? Je, uhalifu huu hauna uhusiano na Jeshi la Polisi?
Maswali haya yanaulizwa na wananchi wengi. Matukio ya karibuni ya polisi kukamatwa na nyara za Serikali yanaondoa shaka ya kuwahusisha polisi kwenye uhalifu huu.

No comments:
Post a Comment