Beki
wa Yanga, Mbuyu Twite (chini) akiugulia maumivu baada ya kuumia
alipokwatuliwa wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Yanga
na timu ya Armania Bullered ya Ujerumani, mchezo ulichezwa kwenye Uwanja
wa Adora, Bereket, nchini Uturuki, juzi. Katika mchezo huo timu hizo
zilitoka sare kwa kufungana mabao 1-1.
Mchezo huo ukiendelea katika uwanja wa Adora, Bereket, nchini Uturuki, juzi.
No comments:
Post a Comment