Rais wa Kenya Mwai Kibaki
anayemaliza muhula wake wa mwisho , amewataka wakenya kuhakikisha kuwa
uchaguzi unafanyika kwa njia huru na ya haki watakapokwenda kwenye debe
Jumatatu.
Amesema kuwa wakenya watakuwa wanaandika historia ya nchi kwa kushiriki katika uchaguzi siku hiyo.Aidha amewataka wagombea kukubali matokeo ikiwa watashindwa wakati akiwataka washindi kuwa wanyeyekevu katika kupokea ushindi.
Kibaki aliapishwa kwa muhula wa pili tarehe 30 mwezi Disemba mwaka 2007 baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata mkubwa kiasi cha kusababisha maafa huku maelfu wakiachwa bila makao hadi leo.
Serikali ya Muungano iliundwa baadaye kama hatua ya kutuliza ghasia huku makubaliano yakitiwAa saini ambapo Raila Odinga aliyekuwa mpinzani mkubwa wa Kibaki akipewa wadhifa wa waziri mk
No comments:
Post a Comment