Wednesday, September 26, 2012

Kwa heri Agnes Yamoo

 Hali ya uvumilivu iliwashinda wengi hata kufikia kupoteza  fahamu, kama inavyoonekana pichani
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa mfanyakazi wa freemedia marehemu Agnes Yamo
Wafanyakazi wa Free Media nao wakiwa katika hali ya huzuni nyumbani kwa mpendwa wao marehemu agnes yamo

No comments:

Post a Comment