Siku kadhhaa baada ya jeshi la polisi kupata shinikizo kutoka kwa wadau mbali mbali wa habari nchini leo limeamua kumfikisha askari wake katika mahakama ya mkoa wa Iringa kwa tuhuma za kumuua mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi.
Askari aliyefikishwa mahakamani ametambuliwa kuwa ni Pacificus Cleophase Simon(23) mwenye namba za kipolisi G2372 na kesi imeahirishwa hadi septemba 26 mwaka huu
Karibuni kwenye blog yetu uweze kupata habari mbalimbali za kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni kwa maendeleo ya Taiafa letu
ReplyDeletehamuogopi kuweka ushahidi wa mauaji kwenye blog yenu ila nzuri nimeipenda
ReplyDelete