Tuesday, September 25, 2012

SEMINA YA APRM YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Katibu mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje  Bw, John  Haule akifungua warsha ya siku mbili ya APRM inayoaza leo jijini Dar es Salaam ambapo amesema Lengo la Warsha hiyo  ni kuona jinsi ambavyo mpango wa Utekelezaji wa Tathmini  ilivyofanyika chini ya APRM.Amesema kuwa Mpango huo uimegusa maeneo mbalimbali serikalini na inalengo la kuwapa Elimu wawakilishi mbalimbali wa Serikali


Katibu mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani  akiwa kwenye picha ya pamoja  na wadau wa APRM. Warsha hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mikutano DICC

No comments:

Post a Comment