Mkurugenzi Mkuu wa
Microsoft Africa ya Mashariki na kusini Bw Erick Odipo akisaini Mkataba huo
ambapoa amesema kuwa mkataba huu
utahakikisha kuwa bidhaa bandia za programu za Compyuta
nchini zinakomeshwa ambapo
itasaidia kukuza ukuaji wa uchumi nchini Tanzania.
Aidha Bw, Odimpo amesema kuwa mashirika hayo mawili yaliyosaini mkataba
huo wataendeleza kwa pamoja program na
Kampeni za kuelimisha na kutoa
taarifa kwa wakala na Umma kuhusu hatari
na adhabu zinazo husishwa na ukiukwaji wa haki miliki ya program na
ukiukwaji alama ya biashara yaani trade mark.
|
No comments:
Post a Comment