Friday, September 21, 2012

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA TAASISI YA MAFUNZO YA UANASHERIA JIJINI DAR


Waziri wa Katiba na Sheria  Mh, Mathias Chikawe akiwa katika Ziara ya Kutembelea Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa vitendo( LAW SCHOOL OF TANZANIA) ambapo  aliridhika na maendeleo ya  Mradi huo na kutaka uongozi wa Mradi huo kutunza  mazingira.

Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria  kwa vitendo Judge   Jerad Ndika akiongea na waandishi wa habari waliohudhuria katika Ziara hiyo ambapo alisema changamoto kubwa wanayokumbana nayo ni  ukosefu wa Barabara ambapo amesema kuwa wanampango wa kuwasiliana na mashirika mbalimbali  ili wawasaidie kupata Barabara. 

No comments:

Post a Comment