Thursday, September 20, 2012

TWAWEZA WASEMA RUSHWA YAKITHIRI KWENYE VYOMBO VYA HABARI


Mkurugenzi mkuu wa Shirika laisilo la kiserikali linalojihusisha na kufanya tafiti mbalimbali katika sekta ya Afya  Bw, Rakesh Rajami akonge na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya Utafiti wao walioufanya mwaka huu kwenye Sekta ya Afya ambapo alisema kuwa wamebaini kuna utoaji na upokeaji Rushwa katika hosipitali za Serikali.

Hapa akijibu maswali ya waandishi wa habari

No comments:

Post a Comment