Amiri
wa Shura ya maimamu Tanzania, Shekh Mussa Kundecha (kulia) akiwa masheikh wa
Taasisi ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiisilam wakati wa kutangaza hatua ambazo waislamu
watazichukua ili kupinga Filamu iliyotengenezwa
nchini Marekani ya kumkashifu Mtume Mohamad (SAW).Alitangaza
Msimamo uliotangazwa na waislamu hao katika mkutano huo ni wakufanyika mkutano mkubwa kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es
Salaam ambapo waisilamu wote watakusanyika hapo kulaani Filamu hiyo.
|
No comments:
Post a Comment