Friday, October 19, 2012

ALICHO KISEMA ZITTO KUHUSIANA NA VURUGU ZA KIDINI

Hizi ni baadhi ya tweets zake kuhusiana na udini na amani

"Jambo lolote linalotaka kuigawa nchi kwa misingi ya dini zetu linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote. Dola lazima ichukue hatua kali sana"


"Yeyote anaechoma nyumba za ibada za watu wengine asichekewe. Vilevile yeyote anayesambaza ujumbe wa chuki za kidini asichekewe."


"Nchi yetu ni 'secular'. Huu ni msingi wa uTaifa wetu. Anayejaribu kutaka kuvunja msingi huu anavunja Taifa letu. Tusikubali hata kidogo"


"No compromise on matters of Unity, peace and harmony of this great Nation. Dini zetu zisiondoea utanzania wetu. Tukatae ujinga unaoendelea"


"Hili Taifa linapasuka kabisa. Kufa kwa mfumo wa elimu na hasa 'public schools' ni moja ya chanzo cha mambo haya"


Sorce ni acount yake ya twitter

No comments:

Post a Comment