Monday, October 8, 2012

CCM,Chadema wadundana Dodoma


Wanachama wa CCM wakiwafukuzwa waendesha pikipiki ambao walizuiliwa kupika katika njia kwa lengo la kwenda katika ofisi ya kata ya chadema na kuzua ugomvi mkubwa .
MMOJA wa wafuasi wa CCM akiwa anamthibiti mmoja wa waendesha pikipipiki huku akiwa ameshikilia bendera ya Chaema ambayo aliipora kutoka kwa wanachama wa Chadema ,jambo ambalo lilisababisha kuwepo kwa vurugu kubwa na kufikia hatua ya kuwaumiza baadhi ya wananchi na wafuasi wa vyama hivyo


BAADHI ya makada wa chama cha Mapinduzi (CCM),wakimshambulia mmoja wa watu ambao wanasadikika kuwa ni wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika fujo zilizotokea juzi katika uwanja wa Msalato mjini hapa, fujo hizo zilitokana na wafuasi wa CCM kuwashamburia wanachama wa Chadema kwa kuwapiga na mawe bakora kwa lengo la kuwaziua wasiende katika ofisi zao ambazo zipo karibu na ulipokuwa ukifanyika mkutano wa uzindizi wa kampeini za uchaguzi mdogo wa madiwani kata ya Msalato
 
.
 
 

No comments:

Post a Comment