Tuesday, October 2, 2012

viongozi Zanzibar wapewa semina



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,wakati alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,kuiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili.
Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Bi Amina Khamis Shaaban,alipokuwa akitoa mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II,katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akichangia Mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,(kulia).
Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Katiba na Sheria, Daima M.Mkalimoto,alipokuwa akichangia mada ya "Mpango Mkuu wa Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Mkuza II Zanzibar",katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Saleh Mohamed Jidawi,alipokuwa akichangia mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanziba,Dk.Omar Dadi
Shaajak.
Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,(kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdu

No comments:

Post a Comment