
Maonyesho ya pili ya sekta ya
makazi yaani Tanzania Homes Expo yamefikia tamati siku ya Uhuru na
kufungwa rasmi na Naibu Waziri ofisi ya makamu wa Rais Charles Kitwanga.
Maonyesho ya pili ya Tanzania Homes Expo
yalishirikisha mabenki, mashirika yanayouza na kujenga nyumba, mapambo
ya nyumba, nishati mbadala, magari, maji, upimaji, viwanja na ujenzi na
mengine mengi.



No comments:
Post a Comment