Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka
Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na
Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za
kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka
Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na
Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za
kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam,(katikati)Rais
Mstaafu wa Tanzania Mzee Mwinyi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Jaji Mstaafu Eusebia Munuo akivishwa nishani baada ya kumvisha nishani yake leo |

Rais Jakaya Kikwete akimvisha nishani Balozi Ombemi Sefue ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi ikulu leo jijini Dar es salaam![]() |
No comments:
Post a Comment