Tuesday, January 29, 2013

Baraza la Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira la Umoja wa Mataifa (WSSCC), latoa sh. bilioni 8 kwa Tanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa  Baraza la Usambazaji Maji na   Usafi wa Mazingira  la Umoja wa Mataifa (WSSCC),  Christopher Williams (kulia), akizungumza katika 
mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. 

Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza hilo 

Profesa Anna Tibaijuka.
Mkurugenzi Mtendaji wa  Baraza la Usambazaji Maji na 
Usafi wa Mazingira  la Umoja wa Mataifa (WSSCC), 

Christopher Williams (kulia), akizungumza katika 

mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, 

kuhusu mradi wa usambazaji wa maji na usafi wa 

mazingira unaofanywa na shirika hilo katika wilaya tatu 

mkoani Dodoma kwa kusimamiwa na Wizara ya Afya na 

Ustawi wa Jamii utakaogharimu sh. bilioni 8. Katikati ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Profesa Anna Tibaijuka, 

Mkurugenzi Msaidizi Ufuatiliaji na Tathmini wa Wizara 

ya Maji, Joseph Katunda (kushoto) na Mkurugenzi 

Msaidizi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, 

Elias Chinamo. (PICHANA DOTTO MWAIBALE)
Mwenyekiti wa Baraza hilo Profesa Anna Tibaijuka (kulia), 
akitoa ufafanuzi kwa waandishi
. Kushoto ni Mkurugenzi 
Msaidizi Ufuatiliaji na Tathmini wa Wizara ya Maji, Joseph Katunda na Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Afya na 

Ustawi wa Jamii, Elias Chinamo.

No comments:

Post a Comment